Kusaidia ubunifu wa mkulima katika urejesho: Mwongozo wa hatua tano kwa kutumia mtazamo wa chaguo za kimuktadha katika urejeshaji wa ardhi.
Changamoto kubwa ya kurejesha ardhi iliyoharibiwa ni kwamba kiikolojia, kiuchumi, kijamii na kitaasisi hutofautiana baina ya eneo hadi eneo, kijiji hadi kijiji na hata boma hadi boma. Hakuna teknolojia moja, uingiliaji kati au mbinu yafaa hali zote. Kinachohitajika kwa dharura ni chaguo muhimu zinazofaa mazingira ambazo zitafanya kazi kwa wakulima na jamii tofauti katika miktadha aou mazingira tofauti.
Authors
Crossland M,Chesterman S, Magaju C, Maithya S, Mbuvi C, Muendo S, Musyoki M, Muthuri C, Muthuri S, Mutua F, Njoki C, Sinclair F, Winowiecki L
Publication year
2022